June 16, 2024

Building Capacity on Scope of Practice and Job descriptions Workshop

Dear Nurses and Midwives,
We are pleased to continue inviting you to register on our MOFATE website, www.mofate.com, to participate in our upcoming workshop on “Building Capacity on Scope of Practice and Job Descriptions.” This workshop is a crucial part of managing and advancing the nursing and midwifery professions.

Don’t miss this opportunity to enhance your professional skills and knowledge. Join us to stay updated and connected with fellow professionals.

Best regards,
MOFATE

Habari!
Tunawaalika wauguzi na wakunga wote popote mlipo kufanya usajili wenu kwenye tovuti yetu ya MOFATE, www.mofate.com.

Usikose fursa hii adhimu ya kujengeana uwezo juu ya ‘Scope of Practice’ na ‘Job Description’, ambayo ni sehemu muhimu ya kusimamia taaluma ya uuguzi na ukunga. Shughuli hii itawezesha kuboresha ufanisi na ubora wa huduma mnazozitoa.

Jiunge nasi sasa na uwe sehemu ya mabadiliko chanya katika taaluma yetu. Tunategemea ushiriki wenu!

Asanteni sana,
Timu ya MOFATE

In this article:
Share on social media:
WhatsApp
Facebook
X
LinkedIn
Telegram
Email

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Post comment