Category MOFATE – TRAINING

MAONI YAKO NI NINI?

Tunawasalimu kwa jina la  jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Baada ya Baraza la Uuguguzi na Ukunga kutangaza matokeo ya mitihani ya leseni kwa ngazi ya astashahada (30.8%), stashahada (48.1%) na shahada (71.8%) yenye mjumuisho wa ufaulu wa 50.7% na kufeli…