ABOUT STUDENTS CLINICAL PRACTICE SUPERVISION TOOLS VALIDATION PROCESS……

Eneo la Students Clinical Practice Supervision ni eneo ambalo kama Mofate tunalichukua moja kwa moja kuanza utekelezaji kwahiyo, katika session yetu inayofuata tutafanya mjadala kuona machache kuhusiana na tools ambazo tunapendekeza ziwe ni sehemu ya monitoring ya wanafunzi wetu wakiwa katika maeneo ya mafunzo kwa vitendo!! Na kwa sasa tunaelekea kuzifanyia majaribio tuone namna kama zitafaa kwa matumizi! Let us keep looking on progress!

Share your love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *