MAONI YAKO NI NINI?

Tunawasalimu kwa jina la  jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Baada ya Baraza la Uuguguzi na Ukunga kutangaza matokeo ya mitihani ya leseni kwa ngazi ya astashahada (30.8%), stashahada (48.1%) na shahada (71.8%) yenye mjumuisho wa ufaulu wa 50.7% na kufeli 49.3%. Hoja, mitazamo na mawazo ni mengi hasa kwa upande wa kufeli yanaendelea kutolewa katika maeneo mablimbali ya mawasiliano!

Mobile Facilitation Team( MOFATE), tunaamini katika kuyakusanya mawazo ya watu kupitia utaratibu wa mjadala rasmi ili kuwasilisha katika dawati za wanaotuongoza, hivyo tumeandaa mjadala kwa njia ya mtandao utakaofanyika tarehe 02/02/2024 kupitia Google meeting Platform saa 1:30 usiku hadi saa 4:00usiku kupitia link….,

Ahsanteni sana
Karibuni sana!

Share your love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *