NYENZO/TOOLS

Katika Video hii hapa ni Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Mission ya Mtakatifu Joseph Peramiho iliyopo Songea Mkoani Ruvuma Ndg. Romanus Aidan Mgimba ambaye pia ni mwanzilishi na Mkurugenzi wa Lugarawa Youth Foundation, akizungumza na wauguzi pamoja na wanafunzi, wakati wa uwasilishaji wa nyenzo pendekezwa amabzo wauguzi waliopo wodini wanaweza kuzitumia kuwasimamia wanafunzi wanapokuwa katika mafunzo kwa vitendo! Moja ya Jambo kubwa alilogusia ni wauguzi pia kuzitumia ili kuwa vizuri kitaaluma na kutoa huduma bora kwa wagonjwa!

Share your love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *