THE TRUTH ABOUT ALCOHOL|| UKWELI KUHUSU POMBE..

……Nurses who showed their sincerely physical present on the time of presentation! Our collegue ISDORY KIMARIO…. Author of a book entitled THE TRUTH ABOUT ALCOHOL will be with us today from 08:00PM to 10:00PM on Google Meet!! Join with us then!

Hawa ni Baadhi ya wauguzi ambao wameonesha shauku kubwa ya kuungana nasi muda wa wasilisho letu utakapofika! Mwanataaluma mwenzetu ambaye ndiye mwandishi wa kitabu hiki cha UKWELI KUHUSU POMBE atakuwa pamoja nasi kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 4:00usiku kupitia mtandao wa GOOGLE MEET.. Tafadhali Ungana nasi!

Share your love

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *