UBORA WA MAISHA NA ATHARI ZA MAJERAHA SUGU AU ULEMAVU YATOKANAYO NA MAGONJWA NA AJALI

Majeraha sugu au ulemavu ni maeneo yanayochangia sana kupunguza ubora wa maisha, watu wengi wanapata ajali na kuwa na magonjwa mengine ambayo yanasababisha majeraha sugu au ulemavu ambapo hugharimu sana kurudi nyuma kimaisha kutokana na athari za mabadiliko ya kimwili, kiakili, kiuwezo, mahusiano na mazingira pia, tuepuke sana majanga ya ajili na hasa sababu zinazopelekea ajali kama vile pombe na kufuata misinngi ya kisheria ya usalama barabarani.

Share your love

2 Comments

  1. Mi sahihi Mimi n mhanga wa hiyo, nilipata ajali mwezi Februy Hadi Sasa sijaweza kuchuchumaa. Na Wala siwezi kutembea muda mrefu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *