UKWELI KUHUSU POMBE

Mnamo tarehe 02 September 2023, kupitia Google Meet tuliwasilishiwa ukweli kuhusu pombe na Mr. Isdory Kimario, Afisa Muuguzi Daraja la Pili kutoka katika Hopitali ya Kilutheri ya Machame Kimanjaro, yeye ndiye mwandishi wa Kitabu cha UKWELI KUHUSU POMBE ambacho kipo hatua za mwisho kabisa ili kujipatia nakala ngumu na laini! Hapa tunaweka wasilisho la mambo muhimu yaliyomo ndani ya kitabu hicho ambayo aliwasilisha hapo jana kupitia Mobile Facilitation Team Forum! Unaweza kupakua bure kabisa ili kujisome kwa ufupi ukiwa unasubiri nakala halisi! Mwisho unaweza kuweka order yako sasa ya mahitaji ya nakala ili kukuweka katika idadi ya wahitaji!

Share your love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *